supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Tumbo la ujauzito linajulikana na ni tofauti na kitambiKula ni muhimu ungefanya walilale maana kuto kula utawasababishia vidonda vya tumbo
Tumbo la ujauzito linajulikana na ni tofauti na kitambiKula ni muhimu ungefanya walilale maana kuto kula utawasababishia vidonda vya tumbo
Hii kali ya mwaka, sixparks kwenye tumbo kuipata kazi sana kama sio mtu wa mazoeziKitambi kitambi nilikuwa nakitamani Ila Leo nimekipata jamani kitambi noma, wangapi tunaikumbuka hii!?
mazoezi yanasaidia kupunguza magonjwa yasiyo ambukizwa.Hii kali ya mwaka, sixparks kwenye tumbo kuipata kazi sana kama sio mtu wa mazoezi
Hahaha..hakuna kula leo ni kumpongeza mkuu ethos na baikoko.
Macho yanatoka machozi baada ya kukata vitunguuWalioikosa hawafi lakini, walioiona hawapati lakini, utaishia kula kwa macho
Vitunguu swaumu vina bei ghaliMacho yanatoka machozi baada ya kukata vitunguu
Raha ndo watu wanaziweza lkn shida
Vitunguu swaumu vina bei ghali
Bei gani inayoweza kununua roho, jibu ni hakuna. Muwe na usiku tulivu mie bado nipo nipoVina bei ghali ndio ila roho kama ingeuzwa unadhani ingekuwa bei gani...?
Bei gani inayoweza kununua roho, jibu ni hakuna. Muwe na usiku tulivu mie bado nipo nipo
asee kufika kileleni ni kazi.Bado nipo nipo na mie nataka niwe WA mwisho hapa si unajua huu mchezo wa mwisho ndio mshindi aseee.
kazi si kuacha kazi bali kazi ni kutafuta kazi baada ya kuacha kazi.asee kufika kileleni ni kazi.
Tu???..kazi ni Hapa tu!!
Tu, ndo sauti ya mwisho kuisikia baada ya hapo nlipoteza fahamuTu???
Tulipoamka mimi na mpnz wangu tulianza tena kupeana maraha ya asbuhifahamu tumezisahau vitandani tulipoamka
Asubuhi njema ndg zanguTulipoamka mimi na mpnz wangu tulianza tena kupeana maraha ya asbuhi