Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..zangu ni zangu na zako ni zangu pia
Pia bado hautatosheka hata ukiwa na za kwake ukiongeza na zako..zangu ni zangu na zako ni zangu pia
Kila uchwao natamka asante Mungupoa tukumbuke kusema asante kila uchwao.
Mungu ni mwema. Hatimae pamekucha.Kila uchwao natamka asante Mungu
Pamekucha salama kwa upande wangu, habarini za asubuhi nduguMungu ni mwema. Hatimae pamekucha.
Ndugu tumeamka salama, sijui wewe vipi haliPamekucha salama kwa upande wangu, habarini za asubuhi ndugu
hali zetu alihamdulillah hatujambo.Ndugu tumeamka salama, sijui wewe vipi hali
Hatujambo sote nyumbani ni wazima wa afyahali zetu alihamdulillah hatujambo.
Hali yangu ni nzuri kabisaaa ni jumatatu ingine tuuanze mchaka mchaka wa kulisukuma gurudumu la maendeleoNdugu tumeamka salama, sijui wewe vipi hali
Maendeleo huletwa kwa kuchapa kazi na kujitumaHali yangu ni nzuri kabisaaa ni jumatatu ingine tuuanze mchaka mchaka wa kulisukuma gurudumu la maendeleo
Kujituma ni wajibu wetu soteMaendeleo huletwa kwa kuchapa kazi na kujituma
Sote tulijenge taifa lenye mafanikioKujituma ni wajibu wetu sote
Mafanikio yako kwa mwengine ni chukiSote tulijenge taifa lenye mafanikio
Chuki ni swala linalo kwamisha maendeleoMafanikio yako kwa mwengine ni chuki
Maendeleo yako binafsi hayawezi kuja huku unaamini katika chuki nduguChuki ni swala linalo kwamisha maendeleo
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa na chuki na wewe wanaweza wakafanya lolote ilimradi ukwameMaendeleo yako binafsi hayawezi kuja huku unaamini katika chuki ndugu
Ukwame urudi nyuma kimaendeleo hata kwa majungu, fitina, uganga na uchawiNdugu, jamaa na marafiki wakiwa na chuki na wewe wanaweza wakafanya lolote ilimradi ukwame
Uganga na uchawi huanzia pale uwezo wa kufikiri wa binadamu unapoishiaUkwame urudi nyuma kimaendeleo hata kwa majungu, fitina, uganga na uchawi