Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sokoni vitu vimepanda beiMpya zimetoka wiki hii zinapatikana kwa wingi sokoni
Sokoni vitu vimepanda beiMpya zimetoka wiki hii zinapatikana kwa wingi sokoni
Sipunguzi Upendo wangu kwa jamii forumBei yangu sipunguzi
Jamii forum ni mtandao wa kijamii unaowaleta watu karibuSipunguzi Upendo wangu kwa jamii forum
karibu na msimbazi kuna kituo cha mwendokasi.Jamii forum ni mtandao wa kijamii unaowaleta watu karibu
masikini arsenal wameanza kuteleza kuelekea new year kama kawaida yao.Karibu kila mtu ni masikini
Hawasemi sababu hawana uhuruYao huwa hawasemi
mwaka gani alipouwawa komando tamim?Uhuru tulipata mwaka gani?
Komando tamim sikumbuki kwa kwelimwaka gani alipouwawa komando tamim?
Kila kitu mpaka nyanya, vitunguu saum na pilipili mboga?Gengeni kwangu kuna kila kitu
Kitu gani ambacho kinanunuliwa kwa wingi zaidiGengeni kwangu kuna kila kitu
Kitu gani kinaweza nivutia kwa haraka?Gengeni kwangu kuna kila kitu
Zaidi zaidi wanauza mchicha na viaziKitu gani ambacho kinanunuliwa kwa wingi zaidi
Mboga zimeishaKila kitu mpaka nyanya, vitunguu saum na pilipili mboga?