supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mabao mengi mtafungwa tu mwaka huu timu imepata wachezaji wapya na kochaGoals kwa kizungu kwa kiswazi ni mabao.
Mabao mengi mtafungwa tu mwaka huu timu imepata wachezaji wapya na kochaGoals kwa kizungu kwa kiswazi ni mabao.
Kocha yupiMabao mengi mtafungwa tu mwaka huu timu imepata wachezaji wapya na kocha
Yupi unaemuwaza wewe zaidi ya Joseph OmogKocha yupi
Kocha kazi yake kufundisha mpira, habari za weekend yako mkuuMabao mengi mtafungwa tu mwaka huu timu imepata wachezaji wapya na kocha
Tena ni mwalim mzuri wa mpiraOmog ndo Nani tena
Mpira wa miguu au wa peteTena ni mwalim mzuri wa mpira
Mkuu niko poa hofu kwako uliembali na upeo wa macho yangu mkuuKocha kazi yake kufundisha mpira, habari za weekend yako mkuu
Mpira wa miguu ni mzuriTena ni mwalim mzuri wa mpira
Mzuri kwa kupiga chenga na kutoa pasi ndefu za mwisho kabisa unamalizia tu kufunga goliMpira wa miguu ni mzuri
Mkuu mie mzima wa afya, Mungu ni mwema anazidi kunibarikiMkuu niko poa hofu kwako uliembali na upeo wa macho yangu mkuu
Pete alivishwa huku amevaa shela na kiapo cha kuwa nae kwa shida na rahaMpira wa miguu au wa pete
Goli la kwanza huwa linaamsha hisia za watazamajiMzuri kwa kupiga chenga na kutoa pasi ndefu za mwisho kabisa unamalizia tu kufunga goli
Raha kupendwaPete alivishwa huku amevaa shela na kiapo cha kuwa nae kwa shida na raha
Shida ni changamoto kwa wapendanaoRaha ndo watu wanaziweza lkn shida
Shida ipo moja tu mtu hataki kukubali matokeoRaha ndo watu wanaziweza lkn shida
Kupendwa umepata bahati unapendwa sana na shemejiRaha kupendwa
Matokeo ya Simba na Ndanda sijui itakuwajeShida ipo moja tu mtu hataki kukubali matokeo