Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Wameachia ile akiba waliyo kabidhiwa .....Tatu bila wamebana wameachia.
Wameachia ile akiba waliyo kabidhiwa .....Tatu bila wamebana wameachia.
Waliokabidhiwa madaraka ya nchi hii wanafanya wanayotaka wao wenyewe.Wameachia ile akiba waliyo kabidhiwa .....
Hajulikani kweli mkuu, karibu sana JFAu ni mm sielewi maana wa mwisho hajulikani
Wenyewe wameungana wameamua sasa kupambana pamojaWaliokabidhiwa madaraka ya nchi hii wanafanya wanayotaka wao wenyewe.
JF ni bahari isiyona mawambi, waweza pata kila aina ya samaki......!!Hajulikani kweli mkuu, karibu sana JF
Samaki mkunje angali mbichiJF ni bahari isiyona mawambi, waweza pata kila aina ya samaki......!!
Mbichi mbichi zile embe katika pakacha la nazi.....!!Samaki mkunje angali mbichi
Nazi nayo ni tunda?Mbichi mbichi zile embe katika pakacha la nazi.....!!
Tunda lisiliwe bila kuoshwa na maji safi....!!Nazi nayo ni tunda?
Maji safi na salama yanafaa kunywaTunda lisiliwe bila kuoshwa na maji safi....!!
Beba viti vyote adhabu yako, baada ya kuisha mkutanoKunywa lkn ukilewa utajibeba
Saa ngapi nini? Kwani hujuia mlikubalina nini?Mkutano unaanza saa ngapi
Mkutano ni makutano ya watu na matatizo yaoBeba viti vyote adhabu yako, baada ya kuisha mkutano
Kweli mkutano uliisha salama watu wakapeana mikono kila mmoja alifurahiYao mazao yalikuwa mengi kweli