Yomakon
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 638
- 679
Kweli ni neno litumikalo na waongo wengiYao mazao yalikuwa mengi kweli
Kweli ni neno litumikalo na waongo wengiYao mazao yalikuwa mengi kweli
Waongo wengi utawajua tu mpangilio wa maneno na ukimuangalia suraKweli ni neno litumikalo na waongo wengi
Sura yake inafanana na rais Baraka Obama......Waongo wengi utawajua tu mpangilio wa maneno na ukimuangalia sura
KuziCream kama Binty Sudani au binti Somalia.....!!Sura zao zinatisha kwa kuzicream
Binti somalia ni watoto wazuri kwa maumbo ya kuvutia, ukienda mombasa kenya unapata mtoto wa kisomali mmoja mzuriKuziCream kama Binty Sudani au binti Somalia.....!!
Mzuri ni huyu hapa mTZ mwenye kujitunza na kujiremba "mcheza kwao hutunzwa" !!!Binti somalia ni watoto wazuri kwa maumbo ya kuvutia, ukienda mombasa kenya unapata mtoto wa kisomali mmoja mzuri
Hutunzwa vipi mkuu, wakati watu wameambiwa watembee katika dunia wapate kuona maajabuMzuri ni huyu hapa mTZ mwenye kujitunza na kujiremba "mcheza kwao hutunzwa" !!!
Kikombe cha babu wa loliondo sijui watu walipona kweli walipotoa ushuhudaMaajabu yakijanjajanja mojawapo ni kikombe cha babu wa loliondo
Ushuhuda mwingine unakuta ni magumashi
Magumashi mengi ni dalili ua utapeliMagumashi kila kitu tz magumashi