supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mwisho utakabidhiwa ushindi na viongoziTena nimekuwa wa mwisho.
Mwisho utakabidhiwa ushindi na viongoziTena nimekuwa wa mwisho.
G'one au G-Unit, umenikumbusha kundi la kina 50cents na Lloyd banks kwenye hiphopViongozi wapiga are gone
Maji ya kunywa yaliochemshwa ni salama kwa afya yakoHip hop ni mziki mgumu Ila kwa darasa ni kama maji ya kunywa
Imarisha ngozi yako kwa vitu asiliYako afya umeiimarisha
Asili yako wewe ni wapi?Imarisha ngozi yako kwa vitu asili
Jadi yetu ni kufanya tambiko kila mwakaAsili kwetu ni jadi
Bahati sana huwakuta watu wenye nyota ya mapachaMwaka huu kwangu umekuwa wa bahati sana
Ngosha the swaga donmapacha kama chembechembe za udikteta na ngosha
Don muvie ya Shah rukh khan imegharimu mapesa mengiNgosha the swaga don
Mengi ni tajir mkubwa tzDon muvie ya Shah rukh khan imegharimu mapesa mengi
Nomino husimama kwenye Jina la mtu au sehemMengi ni nomino