supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Viatu rangi nyeusi ni vizuri kuliko rangi rangiMatope mengi hunasa kwenye viatu
Viatu rangi nyeusi ni vizuri kuliko rangi rangiMatope mengi hunasa kwenye viatu
Rangi tofauti ndo wadada hupendeleaViatu rangi nyeusi ni vizuri kuliko rangi rangi
Rangi ninayoipenda ni pinkiViatu rangi nyeusi ni vizuri kuliko rangi rangi
Machungwa kwetu yapo kidogo ila maembe ni ya kumwagaaShambani kwetu njoo ule mihogo na machungwa
Machungwa yanayotoka muheza ni matamu sanaShambani kwetu njoo ule mihogo na machungwa
Matamu sana, karibu muheza ule machungwa kwa wingiMachungwa yanayotoka muheza ni matamu sana
Kwa wingi pia yanaongeza vitamin cMatamu sana, karibu muheza ule machungwa kwa wingi
Vitamin c Utaipata pia kwenye mboga mbogaKwa wingi pia yanaongeza vitamin c
Siipendi kabisa njaaMboga mboga Kama spinach sili kabisa siipend
Umaskini huletwa na uvivuNjaa ni rafiki wa umaskini
Sipendi kabisa kisamvuMboga mboga Kama spinach sili kabisa siipend
Kisamvu huwa kinatwangwaSipendi kabisa kisamvu
Mmm, kumbe! Kinatwangiwa nini?Kinatwangwa kwenye kinu
kinu cha kutwangia kisamvu nitakipata wap?Kinatwangwa kwenye kinu
Safaricom umenikumbusha kenya mombasaWapi nilipo sasa hivi ukiotea aki ya mungu nakupm vocha ya safaricom