Mkuu wa shule yetu alikuwa mkali haswa ukichelewa kushika nambaKwako kuko vyema mkuu
Haswaa,hakuna asiye jua umuhimu wa JF.Namba moja ndo namba niipendayo haswaa
Screen ya cm yang inalegalega kama drugwaiza kradoTV toleo jipya ni flat screen
Krado ni jina la mtu au kitu?Screen ya cm yang inalegalega kama drugwaiza krado
Hakitaokotwa maana kilipoangukia si salamakitu kama kitumbua katu hakitaokotwa
Eatv Award zilipooza sana.. Sikujua tatizo ni nini.salama ndie alihost eatv award
Award ipi aliye tunukiwa Mwana mtindo mrembo !!!?salama ndie alihost eatv award
Nini kilichomponza mbunge wa majitaka ??Eatv Award zilipooza sana.. Sikujua tatizo ni nini.
Majitaka yamejaa jiji la DubeiNini kilichomponza mbunge wa majitaka ??
Dubai hainaga uzembe ktk kuchapa kazi haswa za usafishaji mji.... !!!Majitaka yamejaa jiji la Dubei
Wavivu siku zote hawawazi mambo ya maendeleoMji wa Dubei mchafu inaoneka watu wake ni wavivu
Mji wa moshi unaongoza kwa usafiDubai hainaga uzembe ktk kuchapa kazi haswa za usafishaji mji.... !!!