Sana Sana we ndo mtoroJamani eeh wengine wako wapi zamiluni zamiluni, ukhuty, supermarket na mimi mwenyewe tumepoteana sana
Mtoro n gbefa alifichwa na wifeSana Sana we ndo mtoro
Tumepoteana sana, baadae kidogo nitakuwepo pande hiziJamani eeh wengine wako wapi zamiluni zamiluni, ukhuty, supermarket na mimi mwenyewe tumepoteana sana
Mchochezi hana dhamanaHizi nizama zakusifia tu ukikosoa wewenimchochezi
Pande hizi umezisusa au ni majukumu mazitoTumepoteana sana, baadae kidogo nitakuwepo pande hizi
Wife wake hapendagi ujingaMtoro n gbefa alifichwa na wife
Taifa langu Tanzania, taifa lenye amani na watu wenye upendoUjinga wa watanzania wengi ndo unalitafuna taifa
Upendo ni jina la sakayo la utotoniTaifa langu Tanzania, taifa lenye amani na watu wenye upendo
Utotoni usipotembea utabebwa mgongoniUpendo ni jina la sakayo la utotoni
Mgongoni hapanitoshiUtotoni usipotembea utabebwa mgongoni
Utotoni kwani ukubwani anaitwajeUpendo ni jina la sakayo la utotoni
Hapanitoshi kwa kuwa nimenonaMgongoni hapanitoshi
Nimenona usoni shavu dodoHapanitoshi kwa kuwa nimenona
Dodo ni embe tamuNimenona usoni shavu dodo
Dodo ni maembe matamu sanaNimenona usoni shavu dodo
Tamu ya chai ni sukariDodo ni embe tamu
Sukari mie SipendiTamu ya chai ni sukari