supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Nzito usibebe, bora uchukue nyepesi sababu safari bado ni ndefuSauti nzuri nzitoo
Nzito usibebe, bora uchukue nyepesi sababu safari bado ni ndefuSauti nzuri nzitoo
Nzito ndo nzuriSauti nzuri nzitoo
Wapi wewe tena ZZ tulikuwa nae asubuhiMkuu zz yuko wapi
Mkuu siwezi sahau enzi ziiiileee za utotoUtani napenda sana, sijui umejuaje mkuu
Utoto una raha yake bwana asikwambie mtu. Natamani kuwa malaika, natamani kuwa kama mtotoMkuu siwezi sahau enzi ziiiileee za utoto

Asubuh sikuwepo mimiWapi wewe tena ZZ tulikuwa nae asubuhi
Mimi nilikuwa nachungulia tuAsubuh sikuwepo mimi
Nyumbani kwenu tutachelewa kufikaTutaenda leo nyumbai
Kufika mahali unapokwenda watakiwa kumshukuru MunguNyumbani kwenu tutachelewa kufika
Sasa amekuwa mkubwa ancoMtot wangu anafikisha miak miwili sasa
Mungu atufikishe salama safari zetu za mikoani hasa kipindi hiki cha skukuuKufika mahali unapokwenda watakiwa kumshukuru Mungu
Tutalisahau kama halina maanaLitakuja jengine NA hili TUTALISAHAU
Maana yake halisi tayari amekubaliTutalisahau kama halina maana
Amekubali kujumuika nasiMaana yake halisi tayari amekubali
Nasi bila hiana tumemkaribisha tuwe pamojaAmekubali kujumuika nasi