TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,301
Utotoni kwani ukubwani anaitwaje
Ukubwani anaitwa Sakayo
Utotoni kwani ukubwani anaitwaje
Sipendi maziwa mimiSukari mie Sipendi
Vitu vitamu kama asali au kekiMimi Mara nyingi napendelea vitu vitamu
Sakayo ni ID ya jf tu mkuuUkubwani anaitwa Sakayo
Njoo huku we Ukhuty mie nshafikaaSakayo nakuita huku njoo
Sakayo ni ID ya jf tu mkuu
napendelea keki, hasa zile kubwa na nzuri kutoka supermarket..Vitu vitamu kama asali au keki
Mimi napenda mtindiSipendi maziwa mimi
Supermarket inapatkana hadi mikate ambayo nusu mkate nusu kekinapendelea keki, hasa zile kubwa na nzuri kutoka supermarket..
Mkuu alikuwa anakuita kwa sautiSakayo ni ID ya jf tu mkuu
Kutafuta ndo nazisaka helaMkuu kwakikwetu sakayo ni endelea kutafuta
Saka hela nyimbo ya Ney wa mitegoKutafuta ndo nazisaka hela
Supermarket ni member wa jf na anapenda jukwaa la utaninapendelea keki, hasa zile kubwa na nzuri kutoka supermarket..
Utani ni mzur sana nami pia napenda japo sometimes watu wanachukulia seriouslySupermarket ni member wa jf na anapenda jukwaa la utani
Seriously wewe usijali endelea na maisha yako unapoona upo sawaUtani ni mzur sana nami pia napenda japo sometimes watu wanachukulia seriously
Sauti nzuri nzitooMkuu alikuwa anakuita kwa sauti
Utani napenda sana, sijui umejuaje mkuuSupermarket ni member wa jf na anapenda jukwaa la utani