Ujanja ukizidi ni hasaraMoyo wa sungura ni mdogo umekaa kiujanja ujanja
Nampenda sana dada ukhuty wa JF!Mama ni mama
Usichague unachopewa, asieshukuru kidogo hawezi kushukuru kingiZawad ni zawad usichague
imeibiwa yake tu ya mwenzake ipo.Yake silaha imeibiwa
Brown ile ya udhurungi auKidogo kidogo kaanga mpaka vitunguu viwe na rangi ya brown
Imeibiwa na mwizi wakati nayeye yupo lindoni anaibaYake silaha imeibiwa
Kingi ni muhimu kufikiriUsichague unachopewa, asieshukuru kidogo hawezi kushukuru kingi
Kina mama wanahitaji pongeziMoja moja moja umoja wa kina mama
hata wafanyeje au hutaki kutoka naye?Ipo ipo tu hat wafenyeje
Mama zetu tuwapende sana hata tukiolewa tuwapende wakwe zetuMama ni mama
Anaiba ilikuwaImeibiwa na mwizi wakati nayeye yupo lindoni anaiba
Ukhuty wa JF unapendwa njoo uuone ujumbe wako mkuuNampenda sana dada ukhuty wa JF!
Zetu thamani tusizishusheMama zetu tuwapende sana hata tukiolewa tuwapende wakwe zetu
Hasara ikizidi inakatisha tamaa kuendelea na biasharaUjanja ukizidi ni hasara
Mkuu nimeuon nami nawapenda woteUkhuty wa JF unapendwa njoo uuone ujumbe wako mkuu
Ilikuwa ameshajiandaa akakamatwa na polisiAnaiba ilikuwa
tusizishushe thamani ili kujenga heshima.Zetu thamani tusizishushe
BIASHARA yangu imeleta faidaHasara ikizidi inakatisha tamaa kuendelea na biashara