Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Wametutoka na daima tutawakumbuka na kuwaombeaHawapo kwa kweli wametutoka
Wametutoka na daima tutawakumbuka na kuwaombeaHawapo kwa kweli wametutoka
Lecture wetu hata haelewekiHawapo makini na alichotufundisha lecturer
Mwaka huu upo mwishoni mwishoniUlifana uvunaji wa mazao mwaka huu
kisimani kuna mambo kwa mabinti wa vijijini.Ndugu yangu leo ulienda kisimani
Mwishoni tuumalizie kwa amaniMwaka huu upo mwishoni mwishoni
Vijijini siku hizi kumeendeleakisiwani kuna mambo kwa mabinti wa vijijini.
Mabinti wa vijijini wa zamani wana heshma, mtu ulikuwa ukitaka mke unakwenda kuchukua kijijini. Lakini kwa sasa!!kisiwani kuna mambo kwa mabinti wa vijijini.
Amani ikitwala na upendo unakuja automaticMwishoni tuumalizie kwa amani
Zmebadilika pia na hali ya hewaSasa hivi zama zimebadilika
Kumeendelea kwakwelVijijini siku hizi kumeendelea
Zama zimebadilika wazee hawathaminiki na kusikilizwaSasa hivi zama zimebadilika
Zama zimebadilika wazee hawathaminiki na kusikilizwaSasa hivi zama zimebadilika
Upendo ni kitu cha muhimu kwa woteAmani na upendo
Wote walikuwa wanakusubiri na kukusikiliza kwa hamuUpendo ni kitu cha muhimu kwa wote
Sawa na mapenzi ya munguWote ni sawa