supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Wakwe zetu wapewe thamani, ukiweza kuishi vizuri na kuwa karibu na mama mkwe basi ndoa utaifurahiaMama zetu tuwapende sana hata tukiolewa tuwapende wakwe zetu
Wakwe zetu wapewe thamani, ukiweza kuishi vizuri na kuwa karibu na mama mkwe basi ndoa utaifurahiaMama zetu tuwapende sana hata tukiolewa tuwapende wakwe zetu
Heshima pesa shikamoo keleletusizishushe thamani ili kujenga heshima.
Heshima ni muhimu kwa wakubwa na wadogotusizishushe thamani ili kujenga heshima.
Utaifurahia sanaWakwe zetu wapewe thamani, ukiweza kuishi vizuri na kuwa karibu na mama mkwe basi ndoa utaifurahia
Wadogo zangu nawapendaHeshima ni muhimu kwa wakubwa na wadogo
Faida ya mwaka huu ni kubwa kuliko ya mwaka janaBIASHARA yangu imeleta faida
Nawapenda wote walionisaidia na kunipa sapot mpaka kufikia hapaWadogo zangu nawapenda
mwaka jana uchaguzi ulifana.Faida ya mwaka huu ni kubwa kuliko ya mwaka jana
Kasheshe la mtaani watu wamecheka mpaka basiJana ilikuwa kasheshe
Hapa tulipo tunashukur munguNawapensa wote walionisaidia na kunipa sapot mpaka kufikia hapa
Kasheshe gani tena ukhutyJana ilikuwa kasheshe
Kufikia hapa leo so mchezo Kuna wengi walitaman ila hawapoNawapensa wote walionisaidia na kunipa sapot mpaka kufikia hapa
Ulifana uvunaji wa mazao mwaka huumwaka jana uchaguzi ulifana.
Hawapo makini na alichotufundisha lecturerKufikia hapa leo so mchezo Kuna wengi walitaman ila hawapo
Ndugu yangu leo ulienda kisimaniUkhuty ni mpenda watu mdugu