Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Ushindi hamna atakayechukua labda tugawaneAnyanyue mikono mapema kabla hajakabidhiwa ushindi
Ushindi hamna atakayechukua labda tugawaneAnyanyue mikono mapema kabla hajakabidhiwa ushindi
rahisi kuliko nini?Kugawanya Ni rahisi
Sijui niliishia wapi katika mazungumzoKwakwel leo mko faster kama nn cjui
Magazijuto ni hesabu nzuri sanaKugawanya halafu kuzidisha ndio utaratibu wa magazijuto
Magazijuto kwa kingereza ni nnKugawanya halafu kuzidisha ndio utaratibu wa magazijuto
Mazungumzo ya Leo yalinogaSijui niliishia wapi katika mazungumzo
Kukataliwa kunauma
mazungumzo yake yote alikuwa akilaumu mabeki.Sijui niliishia wapi katika mazungumzo
Kukataliwa kunauma sana unaweza kununaJibu unaeza kubaliwa au kukataliwa
Mabeki tatu wana visamazungumzo yake yote alikuwa akilaumu mabeki.
sipendi kabisa mchezo mchezo.Kununa huwa sipendi kabisa
Moyo vumiliaKunauma ila utajipa moyo
Kununa sio tabia nzuri kwa MwanamkeKukataliwa kunauma sana unaweza kununa
kukataliwa hapana naomba nikubalie.Jibu unaeza kubaliwa au kukataliwa
Mchezo gani usioupendasipendi kabisa mchezo mchezo.
mazungumzo yake yote alikuwa akilaumu mabeki.
Nini tena zaidi ya bodmas umekumbuka enziMagazijuto kwa kingereza ni nn
mwanamke mwerevu hanuni.Kununa sio tabia nzuri kwa Mwanamke