Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Tuzo za Zanzibar amepataje sasa, nae imeigiza nini kwa mfanoMwaka huu tunzo ya muigizaji bora wa kiume EATV amepata Gabo zigamba na hata tunzo za zanzibar
Tuzo za Zanzibar amepataje sasa, nae imeigiza nini kwa mfanoMwaka huu tunzo ya muigizaji bora wa kiume EATV amepata Gabo zigamba na hata tunzo za zanzibar
Kilimanjaro ni mkoa uliobarikiwaNaipenda sana boti mpya ya kilimanjaro
Kila mtu anahitaji msamahaAdhabu tosha namsamehe kila mtu
Acha tu mkuu, muungwana akivuliwa nguo huchutama. Mwalimu wangu alinifundisha mtu akikutukana mpe tabasamutosha sana ila inauma acha tu.
Acha tu iume itapoa mkuu maana hamna namnatosha sana ila inauma acha tu.
Msamaha wa rais kwa wafungwa kuachiwa huruKila mtu anahitaji msamaha
Siku hizi naswaki mara mbili tuu,yaani asubuhi na jioniMaji ya kuchemsha siku hizi hatunywi kama kupiga mswaki mara tatu kwa siku
Namna ni kupambana tuAcha tu iume itapoa mkuu maana hamna namna
Huru kwelikweli au watarudiMsamaha wa rais kwa wafungwa kuachiwa huru
Kupambana tu bila kuchokaNamna ni kupambana tu
Furaha kweli wanayo kuwa huru sio mchezoWatarudi wakiwa ni wenye furaha
kuchoka ndiyo mwanzo wa kushindwa.Kupambana tu bila kuchoka
mchezo hauitaji hasiraFuraha kweli wanayo kuwa huru sio mchezo
Kushindwa ni kukiri udhaifukuchoka ndiyo mwanzo wa kushindwa.
Kushindwa ukikubali basi sio mshindanikuchoka ndiyo mwanzo wa kushindwa.
Mfano tarehe 16 July 2016 Gabo alishinda tunzo ya muigizaji bora kwenye filamu ya safari ya gwalu huko zanzibar na fid q alishinda video bora walk it off katika tunzo za ZIFF zinazotolewa ZanzibarTuzo za Zanzibar amepataje sasa, nae imeigiza nini kwa mfano
Volleyball huchezwa kwa mikonoMchezo niupendao ni vollebo
Udhaifu wake ni wasichana wazuri wazuri waremboKushindwa ni kukiri udhaifu