Hivyo itabidi wamsubiri arudiImechelewa sababu ya mhasibu alikuwa hayupo amesafiri kikazi na mishahara haiwezi kutolewa kiholela hivyo
Ukubwa dawaSana umecheza na wenzako na huo huo ukubwa
Siku hizi wafadhili pia wanagoma kutoa misaada sababu ya utapeliFadhila hakuna siku hizi
Utapeli umezidi bongoSiku hizi wafadhili pia wanagoma kutoa misaada sababu ya utapeli
Dawa hulevyo ikizidiUkubwa dawa
Bongo ukizubaa watu wanakupiga cha juuUtapeli umezidi bongo
Ukubwa haujalishi linapokuja swala la michezoSana umecheza na wenzako na huo huo ukubwa
Arudi wapi wakati naskia benki pesa hamna wafanyakazi wamedanganywa tu ili wasije kusumbuaHivyo itabidi wamsubiri arudi
Hupati tena kwani imekuwajeZenu haki ukizembea hupat
Michezo ni afya, burudani na kufahamianaUkubwa haujalishi linapokuja swala la michezo
Dawa hutibu maradhiUkubwa dawa
Kusumbua lazima, familia zao zitaishije labdaArudi wapi wakati naskia benki pesa hamna wafanyakazi wamedanganywa tu ili wasije kusumbua
Maradhi yake anapona akimuona mjukuu wake wa mwishoDawa hutibu maradhi
Kufahamiana ni muhimu ili kuongeza idadi ya nduguMichezo ni afya, burudani na kufahamiana
Wa mwisho kuzaliwa kwetu ni sakayoMaradhi yake anapona akimuona mjukuu wake wa mwisho
Sakayo au Zakayo..?? maana Sakayo kikwetu ni matusiWa mwisho kuzaliwa kwetu ni sakayo
Ndug lawamaKufahamiana ni muhimu ili kuongeza idadi ya ndugu