supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Letu moja, la kwao kila mtu atajijua mwenyeweMUNGU wetu aliye mkubwa naye ndio tegemezi letu
Letu moja, la kwao kila mtu atajijua mwenyeweMUNGU wetu aliye mkubwa naye ndio tegemezi letu
Haya yote ni maisha, ipo siku yatakwishaChangamoto ni nyingi sana ktk maisha haya

Kesho utajiskia aibu au kushindwa kabisa kuongea nae sababu ya ulichomfanyi kipindi kileMaisha haya usimdharau mtu maana unaye mdharau leo ndio msaada wako wa kesho
Yatakwisha ila sijui Ni liniHaya yote ni maisha, ipo siku yatakwisha![]()
Kile kifaa changu bado ninachoKesho utajiskia aibu au kushindwa kabisa kuongea nae sababu ya ulichomfanyi kipindi kile
Lini ulijua kwamba utakuwa hapo ulipo kwa sasa, basi hata unapoelekea na safari Mungu atakuongoza na kufanikiwaYatakwisha ila sijui Ni lini
KufanikiwA panahitaji juhudiLini ulijua kwamba utakuwa hapo ulipo kwa sasa, basi hata unapoelekea na safari Mungu atakuongoza na kufanikiwa
Binadamu wasasa hatuna subira na uvumilivu kama tunavyoelezwa stori za wazeeKufanikiwa ni ndoto ya Kila binadamu
Yatakwisha ila sijui Ni lini
Juhudi zako mwenyewe ndio mtajiKufanikiwA panahitaji juhudi
Utii wa kanuni na sheria za nchi ni muhimu kuufuata hata kama unatafuta maisha hakikisha ni pesa halaliJuhudi maarifa huongeza utii
Ipo wazi unapofanya kitu chochote haramu basi akili/moyo wako automatically unakuwa na wasiwasiHalali ipo wazi na haramu ipo wazi
Wazi mie nimeshindwa kuendeleaHalali ipo wazi na haramu ipo wazi