Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Huzuni kuua ninjenje siunakumbuka dogo wa moshi aliye jinyonga mwezi huu baada ya kuondokwewa na mama yake mzazi
Mzazi unapopoteza vitu vingi sana utavikosa kwake, ukimpoteza mama huwezi kupata upendo wa mama kwa mtu yoyote dunia hii, na ukimpoteza baba basi jukumu lote linamuangukia mama maskini analea watoto kwa tabu sana mpaka wanapokuwa wakubwa
 
Wakubwa mpk t umekuwa maskin tumekuwa Kwa tabu kweli
 
Back
Top Bottom