Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Hapa nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi alitangulia mbele za hakiUtani uliezoea kutaniana na rafiki yako ukikumbuka unazidi kuumia, tumshukuru Mungu ametupa uwezo wa kusahau sababu kama ingekuwa mauvu tunayoyapata ni kama siku ile ya msiba tusingekuwa hapa