Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Maisha matamu ukiwa na umpendaeWangu wa maisha
Maisha matamu ukiwa na umpendaeWangu wa maisha
Kujiamini ndo mpango mzimaUjasiri ni hali ya kujiamini
John pombe magufuliMajangili wa faru Joni
Wangu wa maishaWangu wa maisha

Umpendae wewe na yeye akupende halafu mpendane kufa na kuzikanaMaisha matamu ukiwa na umpendae
Magufuli ni rais wanguJohn pombe magufuli
Kuzikana haiwezekani maana lazma mmoja amtanguliee mwenzakeUmpendae wewe na yeye akupende halafu mpendane kufa na kuzikana
Mwenzake anampenda yeye hampendi anamtesa na kumuumiza moyoKuzikana haiwezekani maana lazma mmoja amtanguliee mwenzake
Moyo kazi yake kusukuma damuMwenzake anampenda yeye hampendi anamtesa na kumuumiza moyo
Damu nzito kuliko majiMoyo kazi yake kusukuma damu
Damu ya kunguni ni mbaya sana ukiwa nayo ni gundu tosha.Moyo kazi yake kusukuma damu
Maji ni shida sana kwa wakazi wa darDamu nzito kuliko maji
Maji ukiyavulia nguo lazma uyaogeDamu nzito kuliko maji
Dar shida nyingine ni foleniMaji ni shida sana kwa wakazi wa dar
Tosha kwa sasa nimechokaDamu ya kunguni ni mbaya sana ukiwa nayo ni gundu tosha.
Foleni inakera sanDar shida nyingine ni foleni
Foleni ni kawaidaDar shida nyingine ni foleni
Kawaida hasa kukiwa na msafaraFoleni ni kawaida