Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Tandu siliwezi wajaribu wenginemchuzi ndiyo sawa yake kwa tandu.
Tandu siliwezi wajaribu wenginemchuzi ndiyo sawa yake kwa tandu.
Gogo lipi tena lamalizwa na tanduTandu tandu humaliza gogo![]()
Ubwabwa mtamu ukila na samaki wa kukaangaTandu ni mdudu na matandu ni Ile ukoko wa juu wa ubwabwa
Ubwabwa wa juu pale ukoko wake waitwa mahabaTandu ni mdudu na matandu ni Ile ukoko wa juu wa ubwabwa
Kukaanga mie sipendi, napenda wa kuchemshwaUbwabwa mtamu ukila na samaki wa kukaanga
Watamu kama ukimtia limao na tangawiziKukaanga samaki wanakuwa watamu
Mahaba niue uniponde kama nyanyaUbwabwa wa juu pale ukoko wake waitwa mahaba
Nyanya chungu wazijua weweMahaba niue uniponde kama nyanya
Lungu JPM ni lugha ya wapi tenaMimi naongoza kwa kutumia Lungu - JPM
Tena hajui asemaloLungu JPM ni lugha ya wapi tena
Asemalo lina ukakasiTena hajui asemalo
Nayaya kitu gani tena waungwana!Ukakasi ndo nini mchana mwema jamani nayaya
Waungwana tusipoelewa maana ya nayaya inabidi muanzisha neno arudi kutoa maelezoNayaya kitu gani tena waungwana!
Maelezo yangu kwann nilikimbia Jana usiku, spidi ilikuwa Kali supermarket alikuwa mbele alifata ukhuty na sakayo nyuma me nikala kona Ila Leo nipo freshWaungwana tusipoelewa maana ya nayaya inabidi muanzisha neno arudi kutoa maelezo