maandamano ya kusimamisha utafutaji kwa wengi hayafai.Wataandaman na wakati raisi hataki maandamano
Hayafai kabisa ktk jamii zetu
Wapendwa tupo salama usalmini, vipi na wewe hujambo mkuuZetu ni kujuliana hali kila tuamkapo salama, mu buher wa afya ndugu zangu wapendwa?
Wataandamana kwani wamefanywa nini na waume zao katika ndoaWake za watu wataandamana
Ndoa za siku hizi ni za kichinaWataandamana kwani wamefanywa nini na waume zao katika ndoa
ndoa tamu kwa waloifanikiwa ila kwa wengine ni kaa la moto.Wataandamana kwani wamefanywa nini na waume zao katika ndoa
Kichina kina silabi(A-Z) zaidi ya mia tano na ndo maana kigumu kujifunza na kuongeaNdoa za siku hizi ni za kichina
Kaa la moto moja linatosha kuchochea moto kuwaka katika jikondoa tamu kwa waloifanikiwa ila kwa wengine ni kaa la moto.
Jiko limenyeshewa na mvua haliwakiKaa la moto moja linatosha kuchochea moto kuwaka katika jiko
jiko la mkaa zuri kwa kuivishia wali ili kulipata tandu.Kaa la moto moja linatosha kuchochea moto kuwaka katika jiko
Linatisha sana na maumivu yake ni makaliTandu lile limdudu linatisha
Linatisha japo ni tamuTandu lile limdudu linatisha
tamu tandu la wali ila mdudu tandu anatisha.Linatisha japo ni tamu
Tamu ukila na mboga za majani au mchuziLinatisha japo ni tamu
mchuzi ndiyo sawa yake kwa tandu.Tamu ukila na mboga za majani au mchuzi
Tandu tandu humaliza gogomchuzi ndiyo sawa yake kwa tandu.
