supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Wanaonizunguka sio wote wana malengo mazuri, wengine ni wema, wachawi na wabayaKijiji changu nakipenda sana, hasa nikikumbuka ukarimu wa watu wanaonizunguka
Wanaonizunguka sio wote wana malengo mazuri, wengine ni wema, wachawi na wabayaKijiji changu nakipenda sana, hasa nikikumbuka ukarimu wa watu wanaonizunguka
Wabaya hawana huruma sijui kwa niniWanaonizunguka sio wote wana malengo mazuri, wengine ni wema, wachawi na wabaya
Jambo usulolijua ni kama usiku wa gizabidii au jitihada inahitajika kwa kila jambo.
Wazungu wamechangia pesa za msaada wa maafaWanaonizunguka ni wazungu
Maafa ni hali ya kupatwa na matatizo bila kutarajiaWazungu wamechangia pesa za msaada wa maafa
maafa yamewatia umasikini watu wengi.Wazungu wamechangia pesa za msaada wa maafa
Wengi wao ni wale wenye mlo mmoja kwa sikumaafa yamewatia umasikini watu wengi.
Vyema ukamshukuru MunguSiku yang imeanza vyema
siku nyingine hata huo mlo mmoja haupatikani.Wengi wao ni wale wenye mlo mmoja kwa siku
mungu muweza wa yote.Vyema ukamshukuru Mungu
Haupatikani sababu kipato ni kidogosiku nyingine hata huo mlo mmoja haupatikani.
Yote tumuachie yeye pekeemungu muweza wa yote.
pekee ajuaye riziki ya waja wake.Yote tumuachie yeye pekee
Wake za watu wataandamanapekee ajuaye riziki ya waja wake.
siiwezi kwa kuwa ina maudhi mengi.Wake wenza ndoa hiyo siiwezi