Yameibiwa kwa kuwa ulinzi ulikuwa hautoshimakaratasi ya kura yameibiwa.
Yameibiwa kwa kificho au wazi wazi kwa bao la mkonomakaratasi ya kura yameibiwa.
Hautoshi ukikaa kwenye siti moja sababu ya ukubwaYameibiwa kwa kuwa ulinzi ulikuwa hautoshi
mkono mtupu haulambwi.Yameibiwa kwa kificho au wazi wazi kwa bao la mkono
Haulambwi sababu ni mchafumkono mtupu haulambwi.
Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi,ya wahenga hayoHautoshi ukikaa kwenye siti moja sababu ya ukubwa
Mchafu hana rafikiHaulambwi sababu ni mchafu
Rafiki wa kweli huonekana wakati ukiwa na shidaMchafu hana rafiki
Hayo nayakumbuka, jengine haba na haba hujaza kibaba kwa maana kidogo kidogo cha akiba unachohifadhi baadae utakikuta kimejaa kingiUkubwa wa pua sio wingi wa makamasi,ya wahenga hayo
Shida huleta maarifa ya kujikwamuaRafiki wa kweli huonekana wakati ukiwa na shida
Kingi kama hutakidokoaHayo nayakumbuka, jengine haba na haba hujaza kibaba kwa maana kidogo kidogo cha akiba unachohifadhi baadae utakikuta kimejaa kingi
Kingi cha haramu ni sumu ni bora kidogo Cha halaliHayo nayakumbuka, jengine haba na haba hujaza kibaba kwa maana kidogo kidogo cha akiba unachohifadhi baadae utakikuta kimejaa kingi
Kujikwamua katika maisha kunahitaji malengo, uchapakazi na uvumilivuShida huleta maarifa ya kujikwamua
Kujikwamua kama una kianzioShida huleta maarifa ya kujikwamua
Halali yangu kumiliki shambaKingi cha haramu ni sumu ni bora kidogo Cha halali
Kianzio cha mtaji ni ufunguo kibiasharaKujikwamua kama una kianzio
Uvumilivu ukizidi huzaa wogaKujikwamua katika maisha kunahitaji malengo, uchapakazi na uvumilivu
Shamba la bangi la Mbunge wa Arusha lachomwa moto...Halali yangu kumiliki shamba