Hivi hivi me naona ndio freshNafuu sana tofauti na sasa hivi
Fresh vs mtindi wapi patamuHivi hivi me naona ndio fresh
Wako wapi aki na ukwafresh kutoka na mwenzi wako....
mpaka sasa sijala duuuhh!!!Vituko sana hujaacha mambo yako mpaka sasa
Duuh mwanangu umekunywa kahawa au umeloweza maji kwenye ndoompaka sasa sijala duuuhh!!!
Kuigiza sio kazi rahisi mpaka umfanye muangaliaji aweze kulia au kupata uhalisiaUkwa naona kaacha kuigiza
Duuh iyo avatar yako ni htrmpaka sasa sijala duuuhh!!!

Hatari sana nyumba hii kuna mbwa wakaliDuuh iyo avatar yako ni htr![]()
Uhaliasia wa kitu upon kwa MTU mwenyewe
Imepasuka mipira ya pikipiki na kupata pancha baada ya kukanyaga msumariNdoo yangu imepasuka
Zitumike akili msumari kuugonga na nyundo unaweza kupinda hasa kwenye mbao ngumu au mbao ya mnazi ukishakauka msumari wa bati unapinda na hauingii kabisaMsumari kuvunjika nguvu nyingi zitumike
Kabisa napenda michezo ya usiku.Zitumike akili msumari kuugonga na nyundo unaweza kupinda hasa kwenye mbao ngumu au mbao ya mnazi ukishakauka msumari wa bati unapinda na hauingii kabisa
Kabisa tena usijaribu kujua kwa sana coz utabonda midole yoteZitumike akili msumari kuugonga na nyundo unaweza kupinda hasa kwenye mbao ngumu au mbao ya mnazi ukishakauka msumari wa bati unapinda na hauingii kabisa