supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Usiku zima taa, mtaani tutakubiga chabo hainaga ushemejiKabisa napenda michezo ya usiku.
Usiku zima taa, mtaani tutakubiga chabo hainaga ushemejiKabisa napenda michezo ya usiku.
ushemeji wa kuombana pesa kisa dada ako mke wangu sitakiUsiku zima taa, mtaani tutakubiga chabo hainaga ushemeji
NATAKA mwaka uishe 2020 ifike mapemaSitaki nataka
Mapema wahi eneo uliloalikwa halafu kuwa wamwisho kukaa kwenye sitiNATAKA mwaka uishe 2020 ifike mapema
Mapema ili ufanyajeNATAKA mwaka uishe 2020 ifike mapema
Siti zenyewe zimeshakwishaMapema wahi eneo uliloalikwa halafu kuwa wamwisho kukaa kwenye siti
Ufanyeje tena nawakati maamuzi yashatolewa tayariMapema ili ufanyaje
Mapema ili ufanyaje
Wapendwa katika bwana, mmeamka salama?Akipenda mola kesho inshaallah wapendwa
Salama siku hizi hana kipindi kinachovutiaWapendwa katika bwana, mmeamka salama?
Kinachovutia ni kuona wote humu mmeamka buheri wa afyaSalama siku hizi hana kipindi kinachovutia
Afya ndo kila kitu, bora kukosa pesa. Ikiwa huna afya nzuri na ni mgonjwa huwezi kufaidi chakula, pesa na mali zako. Afya ni utajiri pesa makaratasiKinachovutia ni kuona wote humu mmeamka buheri wa afya