supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kula utakula hatakama ni baadaeSana mpaka nimesahau kula
Kula utakula hatakama ni baadaeSana mpaka nimesahau kula
Supu yake itiwe pilipili na ndimuUkwaju huku pweza na supu yake

ndimu,limao,pilipili vyote viungo lkn havichezi barcelonaSupu yake itiwe pilipili na ndimu![]()
Bacelona pale kuna msn yani messi, suarez na neymar lazime ufungwe magolindimu,limao,pilipili vyote viungo lkn havichezi barcelona
Siku hizi nakumbuka utotoniNdimu zimekuw adimu siku hizi
Vituko sana hujaacha mambo yako mpaka sasaUtotoni kwangu nilikuwa na vituko san
Sasa umeamua kurudi baada ya kutukimbiaVituko sana hujaacha mambo yako mpaka sasa
Kutukimbia jmn na mm nmerudiSasa umeamua kurudi baada ya kutukimbia
Nimerudi au umerudi, haya ulikimbilia wapiKutukimbia jmn na mm nmerudi
Nimekuwa na najitambuwaSasa hivi nimekuwa
Kimbia mbio nyingi mpaka watu wakushangae kama una mapafu ya simbaSasa umeamua kurudi baada ya kutukimbia
Kikamilifu kwa ajili ya kushindaNimerudi kikamilifu
Simba symbioticKimbia mbio nyingi mpaka watu wakushangae kama una mapafu ya simba