supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Sifuri ipoa na maajabu sana kwa mfano wa kimaisha yani pale unapoanzia ndipo utakapoishiaKumi ni moja halafu sifuri
Sifuri ipoa na maajabu sana kwa mfano wa kimaisha yani pale unapoanzia ndipo utakapoishiaKumi ni moja halafu sifuri
Shuleni kuna changamoto sanaSifuri ckuwah kupata shulen
Maajabu gani tenaShuleni kwetu kuna maajabu
Maneno mengi wakiingia uwanjani tunafungwa yani kila siku sisiNje ya uwanja wa mpira wanakuwa na maneno mengi
Amani hii tumepewa bureBongo pesa ipo maisha mazuri ya uhuru na amani
Maajabu ya Musa yakikustaajabisha utakuja kukutana na ya firauniShuleni kwetu kuna maajabu
Utakapoishia wewe ndo nitakapoanziaSifuri ipoa na maajabu sana kwa mfano wa kimaisha yani pale unapoanzia ndipo utakapoishia
Yakukute ili ujifunzeTena usiombe yakukute
Nitakapoanzia mimi nitakujulisha twende wote kwa pamojaUtakapoishia wewe ndo nitakapoanzia
Sisi hatupendi kufungwa huwa inatokeaga tuuManeno mengi wakiingia uwanjani tunafungwa yani kila siku sisi
Firauni tena amefikaje humuMaajabu ya Musa yakikustaajabisha utakuja kukutana na ya firauni
Ujifunze katika hii dunia kuna watu na viatuYakukute ili ujifunze
Tuu tu tu ndo mwanzo wa beat studio ya majaniSisi hatupendi kufungwa huwa inatokeaga tuu
Watu na viatu aliimba nyota ndogoUjifunze katika hii dunia kuna watu na viatu
Majanii Temba babaaaTuu tu tu ndo mwanzo wa beat studio ya majani