supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Chuoni ongeza juhudi upate GPA kubwa katika matokeo ya jumlaJioni narudi chuoni
Chuoni ongeza juhudi upate GPA kubwa katika matokeo ya jumlaJioni narudi chuoni
Jioni, ya kweli ayo au ni changamsha genge tuTanesco kesho wanafaya matengenezo wametangaza watakata umeme kuanzia asubuhi mpaka jioni
Mara hii zamu ya mpangaji wa chumba cha pili kununua lukuUmekwisha Mara hii!?
Plastic sio kata bhanaKata za zamani vijijini zilitengenezwa kwa kifuu cha nazi lakini sasa wanatumia kata za makopo ya plastic
Gani hiyo unayozungumziaChuoni upo sura gani
Tumeshazoea mkuu ni kweli kabisa hilo ni tangazo la matengenezo, endapo watamaliza mapema wanawahi kuwasha transfomaJioni, ya kweli ayo au ni changamsha genge tu
Jumla lazma uhakikishe uko juu ya 3,5 ili uweze Soma mastersChuoni ongeza juhudi upate GPA kubwa katika matokeo ya jumla
Unanikosesha raha ikipita zaidi ya wiki hujaonekana kabisaMkuu we ndo unanikosesha
Jumla yake ni ngapiChuoni ongeza juhudi upate GPA kubwa katika matokeo ya jumla
Tumeshazoea mkuu ni kweli kabisa hilo ni tangazo la matengenezo, endapo watamaliza mapema wanawahi kuwasha transfoma
Kumi ni moja halafu sifuriNgap zitakuwa kumi
Nje ndo pagumu zaid komaa hapa hapa bongoTransfoma duh maisha ya tz magum sn bora nifanye mipango ya nje
Kabisa kama mwenzio alivyotukimbiaUnanikosesha raha ikipita zaidi ya wiki hujaonekana kabisa
Nje ya uwanja wa mpira wanakuwa na maneno mengiTransfoma duh maisha ya tz magum sn bora nifanye mipango ya nje
Sifuri ckuwah kupata shulenKumi ni moja halafu sifuri
Bongo pesa ipo maisha mazuri ya uhuru na amaniNje ndo pagumu zaid komaa hapa hapa bongo