Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Hivi mmegoma kunipa UshindiInamaana kikojozi tutamuacha hivi hivi
Hivi mmegoma kunipa UshindiInamaana kikojozi tutamuacha hivi hivi
Mkono na mguuMwizi akatwe mkono
Imeungua kwa sababu ya tanescoPasi yetu imeungua
Mtu mzima hajikojolei bali ni bahati mbayaInakera sana, hasa ya mkojo wa mtu mzima
Siri ya mtungi aijuae kataKipaji cha mtu hakijifichi, na anapokionyesha lazima watu/hadhira ifurahi sana yani hiyo ndio siri
Imeungua sababu unaipigia nguo ambazo hazijakauka na pia shoti ya umemePasi yetu imeungua
Imeungua sababu unaipigia nguo ambazo hazijakauka na pia shoti ya umeme
Ushindi utapata lakini mpaka tuone uwezo wako binafsiHivi mmegoma kunipa Ushindi
Umeme wa tanescoImeungua sababu unaipigia nguo ambazo hazijakauka na pia shoti ya umeme
Umekwisha Mara hii!?Umeme umekwisha
Tanesco kesho wanafaya matengenezo wametangaza watakata umeme kuanzia asubuhi mpaka jioniImeungua kwa sababu ya tanesco
Kata za zamani vijijini zilitengenezwa kwa kifuu cha nazi lakini sasa wanatumia kata za makopo ya plasticSiri ya mtungi aijuae kata
Mkuu we ndo unanikoseshaHivi wew sakayo kwa nini unakosea sana mkuu
Chuoni kuna niniJioni narudi chuoni