Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kwangu shwari, naona kasi imeingezeka mpaka mnaniachaSupermarket nipo fresh pande hizi sijui uko poa pande hizo fresh kabisa kama pande za kwangu
Kwangu shwari, naona kasi imeingezeka mpaka mnaniachaSupermarket nipo fresh pande hizi sijui uko poa pande hizo fresh kabisa kama pande za kwangu
Tumepungua sababu ya majukumu ya hapa na pale, utakaporudi unakuta watu wanaendelea yani kama daladala akishuka mtu anapanda mtuKwanza tupo wangap mbona kama tumepungua
Mnaniacha njia panda wakati nawasubiri tuende woteKwangu shwari, naona kasi imeingezeka mpaka mnaniacha
Wangu mnakimbiza mno, mpaka vidole vyaumaTumepungua sababu ya majukumu ya hapa na pale, utakaporudi unakuta watu wanaendelea yani kama daladala akishuka mtu anapanda mtu
Supermarket yupo faster sana afu Ana knowledge za vitu vingi sanaYaani we ukhuty umepoa kuliko supermarket
Vyauma pole sana, spidi inayotumika ni 120 kwenye konaWangu mnakimbiza mno, mpaka vidole vyauma
Zimeloa mnoo yaani
Huku tunawasubiri wengine wakae kwenye sitiVipi tena njooon huku
Yaani mpaka unavimba mashavu kwa kupuliza motoZimeloa mnoo yaani
Vyauma pole sana, spidi inayotumika ni 120 kwenye kona
Humu kuna vitanda vya dabo deka, utalala juu au chiniYaan jf ni pazuri mnoo mpk natamani nlale humu
Wote hamsomeki bwana, quote ndo mpango mzimaMnaniacha njia panda wakati nawasubiri tuende wote