Kwetu saa tatu kasoro yani tumewapita saa nzima juu juu
Kubwa ni kupendanaTunaweza kufanya jambo kubwa
Kukupokea una mzigo auSasa usijali nimekuja kukupokea
Supermarket nipo fresh pande hizi sijui uko poa pande hizo fresh kabisa kama pande za kwanguHali yako supermarket
AU veepeJuu juu kama Vanessa na juma jux au
Kubwa linakuja baada ya kusota kwa muda mrefu na jambo dogo kwanzaTunaweza kufanya jambo kubwa
Shoka ukiwa huna nguvu za kutosha unaweza kushindwa kukata mti au kuchanja kuniKwetu kuna fumanizi la kukata na shoka
Kwanza tupo wangap mbona kama tumepunguaKubwa linakuja baada ya kusota kwa muda mrefu na jambo dogo kwanza
Huu ni mwendo wa mchakamchakaKwangu au kwenu mnaboronga Uzi huu
Veepe ni neno la kihuniAU veepe
Mchamkamchaka ndio maana hatuchokiHuu ni mwendo wa mchakamchaka