Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Vipi ,vipisiSupermarket vipi
Vipi ,vipisiSupermarket vipi
Moto uwake haraka bora ungechukua upepeoYaani mpaka unavimba mashavu kwa kupuliza moto
Vyauma hata Mimi pia
Huku wapi tena, au kuna uzi mwingineVipi tena njooon huku
Studio narekodi album yangu mpya ita bamba sana mtaaniKona ya mwananyala kinondoni studio
Sana, halafu anaandika mapoint marefu utafikiri inshaSupermarket yupo faster sana afu Ana knowledge za vitu vingi sana
Studio narekodi album yangu mpya ita bamba sana mtaani
Duka la mangi pale karibu na njia panda wateja wake wengi ni wanawakeKona ya nyumba kuna duka
Pia nasinziaVyauma hata Mimi pia
Kona itanishindaVyauma pole sana, spidi inayotumika ni 120 kwenye kona
Furaha tu ndo kitu cha muhimuNalipwa furaha tu
Humu hamna kitandaYaan jf ni pazuri mnoo mpk natamani nlale humu
Mzima mzima kaingia kichwa kichwa, basi wacha watu wampige chupa za maji na kumzomeaWote hamsomeki bwana, quote ndo mpango mzima
Vzr unywe kahawaNasinzia kwa sababu jana sikulala vizuri
Siti ziko za kumwagaHuku tunawasubiri wengine wakae kwenye siti