Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Rushwa nikupe basi niwe mshindiUshindi bongo vigumu bila rushwa
Rushwa nikupe basi niwe mshindiUshindi bongo vigumu bila rushwa
Huu naona ndo utakuwa wa mwishoUzi wa mwisho ndio huu
Muda huu yuko kwenye jukwaa pendwaTena ametuacha peke yetu muda huu
Muda huu ushindi nipeni mieUshindi tutampa nani muda huu
Mshindi mbona ni SakayoUzi huu hauwezi pata mshindi
Hilo ni mmu jukwaa pendwaPendwa jukwàa gani hilo
Wewe wajua jukwaa ganiHilo Hilo unalolijua wew
Nini usichokielewaGani ndo nini
Ajabu gani tenaNini ulichosema ukhuty kuhusu watu wa zenj wana mambo ya ajabu
Ulimwengu wa Mungu huuAjabu ya huu ulimwengu