supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Wenzako wanakupenda, wanakushirikisha na wanakualika lakini wewe umekula keki ya birthday party ya kimya kimyaMuhimu ni kufanya kazi kwa bidii, kuomba na kuishi vzr na wenzako
Wenzako wanakupenda, wanakushirikisha na wanakualika lakini wewe umekula keki ya birthday party ya kimya kimyaMuhimu ni kufanya kazi kwa bidii, kuomba na kuishi vzr na wenzako
Kimya kimya wanakulaga na wenyew za kwaoWenzako wanakupenda, wanakushirikisha na wanakualika lakini wewe umekula keki ya birthday party ya kimya kimya
Kwao mbali hata ukialikwa utasema hauna nauliKimya kimya wanakulaga na wenyew za kwao
Nauli npatie wap akat nko juu ya maweKwao mbali hata ukialikwa utasema hauna nauli

Mawe yaokote halafu tengeneza ukuta wa nyumbaNauli npatie wap akat nko juu ya mawe![]()
Nyumba? Watu wanashinda njaa ww unasema kujenga nyumba.Mawe yaokote halafu tengeneza ukuta wa nyumba
Nyumba si unachimba msingi unaweka tofali unaipandisha mpaka juu unaezeka mabati halafu unaweka milango na madirisha. Yani very simple kwa kuongea kwa mdomoNyumba? Watu wanashinda njaa ww unasema kujenga nyumba.
Mdomo wangu ni mchunguNyumba si unachimba msingi unaweka tofali unaipandisha mpaka juu unaezeka mabati halafu unaweka milango na madirisha. Yani very simple kwa kuongea kwa mdomo
Mchungu labda sababu ya maleriaMdomo wangu ni mchungu
Malaria na nalala kwenye netMchungu labda sababu ya maleria
Net zinatolewa bure hat punguzo kwa mama mjamzitoMalaria na nalala kwenye net
Mjamzito ni mama mwenye mtt tumboniNet zinatolewa bure hat punguzo kwa mama mjamzito
Tumboni kwa Tembo amemeza churaMjamzito ni mama mwenye mtt tumboni
Chura anaruka ruka churaTumboni kwa Tembo amemeza chura
Churaa? Hahaha chura ni watamu sanaTumboni kwa Tembo amemeza chura
Chura huyoo chura, kibob marley cheza kibob marley chezaChura anaruka ruka chura

Cheza wakati hamna mzikiChura huyoo chura, kibob marley cheza kibob marley cheza![]()
![]()
![]()
Mziki nyimbo nzuri ya darasa njoo tuimbe na tuchezeCheza wakati hamna mziki
