supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Matamu sana ukila na ugali au chapatiMaini rosti ni matamu
Matamu sana ukila na ugali au chapatiMaini rosti ni matamu
Chapt zisiwe ngumu sn ziwe teketekeMatamu sana ukila na ugali au chapati
Teketeke !1 kwani wewe kibogoyo huna meno ya kusaga ?Chapt zisiwe ngumu sn ziwe teketeke
Kusaga pia mbali, si unajua hakuna mkate mgumu mbele ya chaiTeketeke !1 kwani wewe kibogoyo huna meno ya kusaga ?
Chai hulainisha mkate mkavu.....Kusaga pia mbali, si unajua hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Chai tamu ni yenye viungoKusaga pia mbali, si unajua hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Viungo kama mdalasini na tangawiziChai tamu ni yenye viungo
Mkate mkavu ukipita muda wake unaharibikaChai hulainisha mkate mkavu.....
Tangawizi mbichi pamoja na ilikiViungo kama mdalasini na tangawizi
Unaharibika ule mpango wa kujenga viwandaMkate mkavu ukipita muda wake unaharibika
Iliki kwa mbali na mchaichaiTangawizi mbichi pamoja na iliki
Iliki, pilipili manga, mdalasini na nyama vikiungwa kwenye pilauTangawizi mbichi pamoja na iliki

Pilau likitiwa kachumbar kwa mbali weuweIliki, pilipili manga, mdalasini na nyama vikiungwa kwenye pilau![]()
Pilau huwa siipendi kabisaIliki, pilipili manga, mdalasini na nyama vikiungwa kwenye pilau![]()
Pilau nikila naharishaIliki, pilipili manga, mdalasini na nyama vikiungwa kwenye pilau![]()
Kabisa kabisa mkuu unapenda msosi gani unainjoy unapokula hicho chakulaPilau huwa siipendi kabisa
Chakula ninachopenda mie ni ndizi kwa mchemsho wa satoKabisa kabisa mkuu unapenda msosi gani unainjoy unapokula hicho chakula
Sato wapo kweli?Chakula ninachopenda mie ni ndizi kwa mchemsho wa sato
Mnoo!! Wapo ila bei yake ndo komeshaKweli jamani nimewamisi mnoo