atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Mali kama unaitaka utaipata shambaniKazi hapa ni kaulimbiyu tunayoikubali kwa hali na mali......
Mali kama unaitaka utaipata shambaniKazi hapa ni kaulimbiyu tunayoikubali kwa hali na mali......
shambani nako kugumu kama shughuli nyingine za mwanaadam.Mali kama unaitaka utaipata shambani
mwanaadam wa leo amekosa utu amebaki na unyama.shambani nako kugumu kama shughuli nyingine za mwanaadam.
Unyama wa nini tena, Wakati wasaa upo na neema imezagaa kote ardhini...?mwanaadam wa leo amekosa utu amebaki na unyama.
Ardhini kuna madiniUnyama wa nini tena, Wakati wasaa upo na neema imezagaa kote ardhini...?
Madini ni wingi wa dini, Lakini asili yake na Ma'aden ni wingi wa Minerals (madini) Njoo nikufunze kilugha.......Ardhini kuna madini
Kilugha hicho mbona kinaonekana kigumu... Ni kiarabu au?Madini ni wingi wa dini, Lakini asili yake na Ma'aden ni wingi wa Minerals (madini) Njoo nikufunze kilugha.......
Au!? Ni nani aliyieanzisha uzi huuKilugha hicho mbona kinaonekana kigumu... Ni kiarabu au?
Huu ndiyo wakati wa kutafakari......Au!? Ni nani aliyieanzisha uzi huu
Kutafakari ukuu wa MunguHuu ndiyo wakati wa kutafakari......
Mungu ni mwadili ndo maana katuwekea "kufa" kwani kila lenye uhai litaSwanzuka....!!Kutafakari ukuu wa Mungu
Litaswanzuka hahaaaaa ZZ weweMungu ni mwadili ndo maana katuwekea "kufa" kwani kila lenye uhai litaSwanzuka....!!
Wewe na mimi ni watu wa karibu, siajabu nikaja kuposa huko uswahilini....... !!Litaswanzuka hahaaaaa ZZ wewe
Uswahilini karibu sanaa ujipatie mkeWewe na mimi ni watu wa karibu, siajabu nikaja kuposa huko uswahilini....... !!
Mke wa kwanza wa mrhm. babu yangu alikuwa Mswahili asili Mweusi tii.....😛😀!!Uswahilini karibu sanaa ujipatie mke
Mweusi tii,kumbe una asili ya uswahili... Karibu nyumbaniMke wa kwanza wa mrhm. babu yangu alikuwa Mswahili asili Mweusi tii.....😛😀!!
Nyumbani kwa watu siwezi kukaribia bila kupata rukhsa ya takrima.......Mweusi tii,kumbe una asili ya uswahili... Karibu nyumbani
Rukhsa ya takrima ushapata.. Dai jingineNyumbani kwa watu siwezi kukaribia bila kupata rukhsa ya takrima.......
Jingine lete "invitation card" kadi inifikie ofisini kwangu kesho kabla ya Swala ya ijumaa !!!Rukhsa ya takrima ushapata.. Dai jingine
Swala ya Ijumaa kabla hujaiswali itakuwa ishakufikiaJingine lete "invitation card" kadi inifikie ofisini kwangu kesho kabla ya Swala ya ijumaa !!!