supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Udongo unapenda kuliwa sana na mwanawake mjamzitoAsilia yetu sote sie ni udongo
Udongo unapenda kuliwa sana na mwanawake mjamzitoAsilia yetu sote sie ni udongo
mapengo huja hasa uzeeniMdomoni mwake Ana mapengo
Uzeeni ndo fainalimapengo huja hasa uzeeni
fainali haitochezwa, msiba na huzuni vimetawala brazil.Uzeeni ndo fainali
Brazil ni nchi yenye nguvu kazi asilimia 80 ndipo maendeleo yake hukuwa kwa kasi.....fainali haitochezwa, msiba na huzuni vimetawala brazil.
Kasi ya Magu iko speed 120Brazil ni nchi yenye nguvu kazi asilimia 80 ndipo maendeleo yake hukuwa kwa kasi.....
Dakika 120 ni za lala salama, hapo haponi mtu.....Kasi ya Magu iko speed 120
Mtu atakayepona kwa speed hii awe mwanariadhaDakika 120 ni za lala salama, hapo haponi mtu.....
Mwanariadha Atug atuwakilisha ktk michuano ya olimpik !!Mtu atakayepona kwa speed hii awe mwanariadha
Olimpik labda ya kwetu lakini sio hii ya kimataifaMwanariadha Atug atuwakilisha ktk michuano ya olimpik !!
kimataifa hatutaweza kushinda ng'ooOlimpik labda ya kwetu lakini sio hii ya kimataifa
Ng'oo hawawezi kupata ubingwa....kimataifa hatutaweza kushinda ng'oo
ubingwa sio kitu cha mchezoNg'oo hawawezi kupata ubingwa....
Mchezo umeanza na mafahari wawili wanapambana vikali....ubingwa sio kitu cha mchezo
Vikali vinaumiza kooMchezo umeanza na mafahari wawili wanapambana vikali....
Koo ya jogoo au ya mbuni...?Vikali vinaumiza koo