supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mkokoteni mdogo unabeba debe sita za majiHajielewi hadi tukambebe kwenye mkokoteni.......
Mkokoteni mdogo unabeba debe sita za majiHajielewi hadi tukambebe kwenye mkokoteni.......
Baridi hufanya mtu unywe chai sanaMti wa mwembe una kivuli cha baridi......
Maji mengi sana yalifurika ukumbini....Baridi hufanya mtu unywe chai sana
Walijaa kama mchanga wa bahari?Ukumbini siku ya harusi yangu watu walijaa
Walijaa hadi kumiminika uwani,barabarani na ukutani !!Ukumbini siku ya harusi yangu watu walijaa
Ukutani wamebandika picha za cartoonWalijaa hadi kumiminika uwani,barabarani na ukutani !!
Hajielewi? Hajielewi halafu awe amekaa pale,,!! HaiwezekaniLitamdondokea ambae hajielewi
Kuangalia hata mimi napenda hasa animationsCartoon mtoto wangu anapenda sana kuangalia
..nini usichokielewa kuhusu animations??animations ndio nini?
Animations ni mfululizo wa istiiradhi ktk taswira KM (iwe movie au motion) ndg. Jaby'z umeelewa?..nini usichokielewa kuhusu animations??
Hela imepotea, Kwa hali ya sasa hivi hata ukivunja Nazi njia panda watu wanaenda kukuna na kuungia mboga!Wafanyakazi hatuna hela



Kuungia mboga na Nazi ni tamu sanaHela imepotea, Kwa hali ya sasa hivi hata ukivunja Nazi njia panda watu wanaenda kukuna na kuungia mboga!![]()