Unaotakiwa uwekwe hapa ni ule pale wenye kibamia.Kiraka kwenye football ni player mwenye uwezo wa kucheza position yoyote kwa ufanisi unaotakiwa
M'bamia maana yake niniChangu sio kibamia ni m'bamia
Nini maana yake rudia ulichosemaNini maana yake Nini
M'bamia kwa kiingereza ni Big Ladies FingerChangu sio kibamia ni m'bamia
Kidole kimoja hakivunji chawaFinger=kidole
Chawa ni kidudu kiduchu kinamaudhi.......Kidole kimoja hakivunji chawa
Kinamaudhi kweli kama kirobotoChawa ni kidudu kiduchu kinamaudhi.......
kiroboto ni nini? au ndiyo robot zile mashine za kizungu?Kinamaudhi kweli kama kiroboto
Za kizungu ni mashine... But kiroboto nae muongelea ni kidudu kidogo anaruka mara nyingi utawapata kwenye mbwa ambao hawaogeshwi na kupatiwa dawa au kuku. Kufyonza damu. Na akimng'ata binadamu ile sehemu huwasha kwelikiroboto ni nini? au ndiyo robot zile mashine za kizungu?