supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Bei rahisi tunanunua manzese midizini ndani ndaniJirani leo siku nzima ananipigia kelele za taarabu kuishi uswaz tabu sana na hv visabufa vya bei rahisi
Bei rahisi tunanunua manzese midizini ndani ndaniJirani leo siku nzima ananipigia kelele za taarabu kuishi uswaz tabu sana na hv visabufa vya bei rahisi
Uhai hutoka kwa MUNGU muumba mbingu na dunia na vyote viliyomo.Tuwe na subra safari bado ni ndefu kikubwa ni uzima na uhai.
viliyomo ni typing error au chapioUhai hutoka kwa MUNGU muumba mbingu na dunia na vyote viliyomo.
Chapio la saba ni stori za udakuviliyomo ni typing error au chapio
Story za udaku zimezidi kuwa nyingi siku hiziChapio la saba ni stori za udaku
Siku hizi mpaka tunashindwa kutofautisha kati ya stori za udaku na stori za kweliStory za udaku zimezidi kuwa nyingi siku hizi
Hizi zimekuwa gumzo kupita kiasi, hivi ni kwa nini?Story za udaku zimezidi kuwa nyingi siku hizi
Kwanini nimeanza kusinziaHizi zimekuwa gumzo kupita kiasi, hivi ni kwa nini?
Kusinzia mapema ni vizuri sababu kesho ni jumatatuKwanini nimeanza kusinzia
Humu tuko poa, vipi hali yako mkuuNini kinaendelea humu
mkuu wa kaya yuko wapi?Humu tuko poa, vipi hali yako mkuu
Wapi tena wakati unajua kabisa hii ni weekend, anakula batamkuu wa kaya yuko wapi?
bata nyama yake ni tamuWapi tena wakati unajua kabisa hii ni weekend, anakula bata
Wivu ukizidi utaungua moyoBata aliwe lakini chunga kuku asije akaona wivu
Moyo mashine,unakoboa na kusagaWivu ukizidi utaungua moyo
Kusaga mahindi utakula ugali wa sembe, bora ukoboe ule ugali wa dona wenye virutubishoMoyo mashine,unakoboa na kusaga