Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,247
Kagera ya MagomeniMtukula ni mpakani mwa Tanzania na Uganda mkoni Kagera
Kagera ya MagomeniMtukula ni mpakani mwa Tanzania na Uganda mkoni Kagera
Magomeni makuti na mapipaKagera ya Magomeni
Magomeni mapipa, maogomeni kota, magomeni bondeni..sasa hao walokuwepo kata ngoma wote ni magomeni?Kagera ya Magomeni
Magomeni mapipa,usalama n.kKagera ya Magomeni
Magomeni mwembe chaiMagomeni mapipa, maogomeni kota, magomeni bondeni..sasa hao walokuwepo kata ngoma wote ni magomeni?
Nani ni kiulizo katika sentensiMtukula ndo nani
Chain husaidia sana pale kichwa kinapouma kwa njaa kaliMagomeni mwembe chai
Njaa kali nimekula andazi moja tangu asubuhiChain husaidia sana pale kichwa kinapouma kwa njaa kali
Asubuhi ya jumamosi au ya leoNjaa kali nimekula andazi moja tangu asubuhi
Jipilipili la wahindi huwaka moto mdomoni huwaga kali.......LEO ni jpili
Pilipili usiyoila yakuwashia nini, nyie mwala chatini bila limao !!!Kali Kama pilipili
Inanoga.. Na'am kweli kila maakulati huendana na limao yaani !!Limao ule uchachu wake ukiuweka kwenye kachumbari inanoga.
Acha navyopenda chatneyYaan wew acha tu