gani neno hilo....chatney ndio kitu gani,?
Mawaidha yakipokelewa ni bora kutendewa kazi yake au kufanyiwa harakati......Chakula cha roho ni mawaidha
Ukombozi ni kitu cha muhimu sanaHarakati za ukombozi
Wabongo noma wanachakachua mpaka mikatabasana tena kwa wabongo
Mikataba feki tunapigagaWabongo noma wanachakachua mpaka mikataba
Tunapigaga pesa ndefu mpaka aibuMikataba feki tunapigaga
Aibu sana kufumaniwa na mama mkwe ukiwa na mchepukoTunapigaga pesa ndefu mpaka aibu
Mchepuko sio dili, baki njia kuuAibu sana kufumaniwa na mama mkwe ukiwa na mchepuko
Kuu kuna foleni hatuwez kungojaMchepuko sio dili, baki njia kuu
Kungoja ngoja sana kunaumiza tumboKuu kuna foleni hatuwez kungoja
Tumbo linahitaji huduma mda huuKungoja ngoja sana kunaumiza tumbo
Huu muda bora ule ugaliTumbo linahitaji huduma mda huu
Ugali na baadae uteremshwe na kakonyagiHuu muda bora ule ugali
Kakonyagi kakikolea unaweza kutukana jiraniUgali na baadae uteremshwe na kakonyagi
Jirani leo siku nzima ananipigia kelele za taarabu kuishi uswaz tabu sana na hv visabufa vya bei rahisiKakonyagi kakikolea unaweza kutukana jirani