supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Aje ni nyimbo nzuri ya AlikibaNamsubiri aje
Aje ni nyimbo nzuri ya AlikibaNamsubiri aje
Alikiba wa enzi za CinderellaAje ni nyimbo nzuri ya Alikiba
Cinderela rudi nyumba kigomaAlikiba wa enzi za Cinderella
Kigoma nataka nifike sijawahi kwendaCinderela rudi nyumba kigoma
Sijawahi kwenda mwanza ila natamaniKigoma nataka nifike sijawahi kwenda
Natamani kupanda mlima Kilimanjaro, Mwanza kuzuriSijawahi kwenda mwanza ila natamani
Mwanza kuzuri naskia, nina marafiki wengi wameniaka niende huko, Mlima Kilimanjaro nauogopa sababu ya kubadilika kwa hali ya hewaNatamani kupanda mlima Kilimanjaro, Mwanza kuzuri
Hali ya hewa sehemu nyingi Tanzania haitabiriki siku hiziMwanza kuzuri naskia, nina marafiki wengi wameniaka niende huko, Mlima Kilimanjaro nauogopa sababu ya kubadilika kwa hali ya hewa
Siku hizi kuna ukameHali ya hewa sehemu nyingi Tanzania haitabiriki siku hizi
Siku hizi joto limekuwa kubwa hasa usikuHali ya hewa sehemu nyingi Tanzania haitabiriki siku hizi
Usiku unajikuta lazima ulale huku feni inazungukaSiku hizi joto limekuwa kubwa hasa usiku
Zunguka Tanzania usiache kutembea ArushaUsiku unajikuta lazima ulale huku feni inazunguka
Arusha nimeshafikaZunguka Tanzania usiache kutembea Arusha
Nimeshafika mpaka TangaArusha nimeshafika
Tanga nami nimefika hadi kwenye mapango ya AmboniNimeshafika mpaka Tanga
Amboni estate kampuni ya zao la kataniTanga nami nimefika hadi kwenye mapango ya Amboni
Katani hulimwa na Morogoro piaAmboni estate kampuni ya zao la katani
Pia morogoro kuna kilimo cha mpunga na miwaKatani hulimwa na Morogoro pia