Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,056
ulevi pia una faida yake ,yani ukiwa tungi unapiga ngeli balaa, pia unapata confidence hatary but tusizidishe itakuwa nowma.
Noma sana kupitiliza kiasiulevi pia una faida yake ,yani ukiwa tungi unapiga ngeli balaa, pia unapata confidence hatary but tusizidishe itakuwa nowma.
Hakinitoshi hata mimiKiasi kidog cha fedha hakinitoshi
Mimi kisiponitosha huamua kukopa benki na kuwalipa polepole deni lao.....Hakinitoshi hata mimi
Mgeni kwetu hupewa siku tatu, ukizidisha utapewa vyombo kuosha na nguo kufua......Mimi mwenyewe mgeni
Majarida mbalimbali yanaandika stori za udakuNapenda sana kusoma majarida mbalimbali.
Udaku yana magazeti yake na sio kila jarida yanaandika udakuMajarida mbalimbali yanaandika stori za udaku
Udaku special ni blog nzuri imezidiwa na muungwanaUdaku yana magazeti yake na sio kila jarida yanaandika udaku
Muungwana siingiagi kusomaUdaku special ni blog nzuri imezidiwa na muungwana
Kusoma inabidi uidowload playstore ni nzuri sanaMuungwana siingiagi kusoma
Sana sana hizi apps zimetuduwaza kunyanyuwa vitabu na kusoma....Kusoma inabidi uidowload playstore ni nzuri sana
Ujinga unatokana na umasikini na kukosa elimuKusoma sana kuondoa ujinga
Ujinga hauondoki kwa kusoma tu.., Wapo wengi waliyosoma na bado !!!Kusoma sana kuondoa ujinga
Bado nipo njia panda namsubiriUjinga hauondoki kwa kusoma tu.., Wapo wengi waliyosoma na bado !!!