Letu mvua na jua wanaofaidika akina sikujuanamba moja hasa kwa kuongoza kuwa na watu wenye nguvu, na Afya bora ya kuhimili maradhi tujivunie bara letu
Sikujua kwanini tunakosa amani tukiwa faragha......Letu mvua na jua wanaofaidika akina sikujua
Faragha yenu imefichuka kwenye mitandao ya kijamiiSikujua kwanini tunakosa amani tukiwa faragha......
Kijamii tunaheshimika kwa utulivu wetu.....Faragha yenu imefichuka kwenye mitandao ya kijamii
Utulivu wetu umetupatia tunzoKijamii tunaheshimika kwa utulivu wetu.....
Tunzo la kitaifa utakabidhiwa siku ya sherehe za uhuru...Utulivu wetu umetupatia tunzo
Uhuru wetu watanzania unatufanya tunawasiliana bila tatizoTunzo la kitaifa utakabidhiwa siku ya sherehe za uhuru...
Tatizo huwepo pale vibaraka wanaovyoingilia uhuru wa raia wema.....Uhuru wetu watanzania unatufanya tunawasiliana bila tatizo
Raia wema wanatambua taratibu, sheria za nchi na katibaTatizo huwepo pale vibaraka wanaovyoingilia uhuru wa raia wema.....
Katiba mpya ya nchi yetu imekuwa ndoto...Raia wema wanatambua taratibu, sheria za nchi na katiba
Ndoto za mchana dalili za uchovuKatiba mpya ya nchi yetu imekuwa ndoto...
Uchovu wa safari ni jambo la kawaida kwa kila msafiri.....Ndoto za mchana dalili za uchovu
Kila msafiri anaomba Mungu afike salama sababu ya ajaliUchovu wa safari ni jambo la kawaida kwa kila msafiri.....
Ajali usikie kama simulizi isikupateKila msafiri anaomba Mungu afike salama sababu ya ajali
Isikupate Mungu atuepushie kwa kweliAjali usikie kama simulizi isikupate
Kweli ni kushukuru Mungu. M nilishawahi kupata ajali na nikapoteza rafikiIsikupate Mungu atuepushie kwa kweli
Rafiki yako ulimpoteza na wewe mwenyewe ulipata madhara?, pole sana mkuuKweli ni kushukuru Mungu. M nilishawahi kupata ajali na nikapoteza rafiki
Mkuu namshukuru sana Mungu yalikuwa madhara ambayo sio makubwaRafiki yako ulimpoteza na wewe mwenyewe ulipata madhara?, pole sana mkuu