supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Makubwa, madogo, uhai na mauti vyote anaepanga ni MunguMkuu namshukuru sana Mungu yalikuwa madhara ambayo sio makubwa
Makubwa, madogo, uhai na mauti vyote anaepanga ni MunguMkuu namshukuru sana Mungu yalikuwa madhara ambayo sio makubwa
Mungu ndo kilio letuMakubwa, madogo, uhai na mauti vyote anaepanga ni Mungu
Letu ni kushukuru kwa kidogo na kikubwa tunachopataMungu ndo kilio letu
Masikini huyu ni ustaadhat Pr cure, umenena "sharing is Caring" angalau tugawane!!tunachopata hicho hicho pia tukigawe kwa wengine ili kupata zaidi, kidogo chako kikubwa kwa masikini...!
Umaskini ni janga kuu africaTugawane umaskini
Africa ina utajiriUmaskini ni janga kuu africa
Utajiri ni afya yako, kila mtu ameumbwa na uwezo fulani wa kujikimu....Africa ina utajiri
Kujikimu na kujipanga na maisha yako na familia ni kitu bora kuliko kuhongaUtajiri ni afya yako, kila mtu ameumbwa na uwezo fulani wa kujikimu....
Kuhonga me sitaki bora niwe mwanaume suruali kama mwana faKujikimu na kujipanga na maisha yako na familia ni kitu bora kuliko kuhonga
Kuhonga kunatafsiriwa vibaya tu.., maana waweza mpa mtu zawadi au bakshishi hivi kiupendo tu bila kusudio....Kujikimu na kujipanga na maisha yako na familia ni kitu bora kuliko kuhonga
Kusudio la pesa ya kuhonga ni kama sadaka?Kuhonga kunatafsiriwa vibaya tu.., maana waweza mpa mtu zawadi au bakshishi hivi kiupendo tu bila kusudio....
Mwana fa katuokoa madume surualiKuhonga me sitaki bora niwe mwanaume suruali kama mwana fa
Suruali za siku hizi ni mlegezo tu au ndiyo fesheni ya vijana?Mwana fa katuokoa madume suruali
Vijana tuna tabu sana mkuuSuruali za siku hizi ni mlegezo tu au ndiyo fesheni ya vijana?
Mkuu SupaMaket kama wasemavyo "kila enzi na utemi wake" huu wakati wa Vijana...Vijana tuna tabu sana mkuu
Vijana waepuke anasaMkuu SupaMaket kama wasemavyo "kila enzi na utemi wake" huu wakati wa Vijana...
Anasa za aina ganiVijana waepuke anasa
Aina gani zaidi ya ngono zembe, milegezo, kuvuta bangi na uleviAnasa za aina gani