Inajikongoja kwa bakora kongwe tena yenye ufaKimaendeleo Tanzania inajikongoja.
Ufa usipozibwa utajenga ukutaInajikongoja kwa bakora kongwe tena yenye ufa
Ukuta wa stendi ya ubungo umechakaaUfa usipozibwa utajenga ukuta
Umechakaa sababu ya vumbi na mazingira ya uchafuUkuta wa stendi ya ubungo umechakaa
Uchafu tuupige vita ili tuepukane na maradhi ya kuambukizanaUmechakaa sababu ya vumbi na mazingira ya uchafu
Kuambukizana magonjwa ya zinaa kunasababishwa na ngono zembe na kipindupindu na magonjwa ya tumbo sababu ya uchafu wa mazingiraUchafu tuupige vita ili tuepukane na maradhi ya kuambukizana
Tutunze mazingira kwa afya ya jamiiKuambukizana magonjwa ya zinaa kunasababishwa na ngono zembe na kipindupindu na magonjwa ya tumbo sababu ya uchafu wa mazingira
Mazingira tuyatunze kwa afya ya jamiiKuambukizana magonjwa ya zinaa kunasababishwa na ngono zembe na kipindupindu na magonjwa ya tumbo sababu ya uchafu wa mazingira
Jamii inahitaji usafiMazingira tuyatunze kwa afya ya jamii
Usafi wa nyumbani ni muhimuJamii inahitaji usafi
Muhimu kufua nguo zetu za nje na ndaniUsafi wa nyumbani ni muhimu
Ndani ya uzi huu kuna wengine hawapendi kuchangia wanategeaMuhimu kufua nguo zetu za nje na ndani
Tegea sehemu zote lakini usiache kupiga pesaNdani ya uzi huu kuna wengine hawapendi kuchangia wanategea
Pesa sabuni ya rohoTegea sehemu zote lakini usiache kupiga pesa
Roho nzuri kwa waliokutendea mabaya ni kipajiPesa sabuni ya roho
Kipaji changu ni uchorajiRoho nzuri kwa waliokutendea mabaya ni kipaji
Uchoraji ni sanaa nzuri sana, sema Tanzania sanaa haziendelezwi kama nchi za wenzetuKipaji changu ni uchoraji